Kuna watu Na Kuna Viatu!

Saa skizeni apa…hiii post yangu hata sitaduu word count na sheng yangu pia itakua ile old skul kaa sijui nini. Yaani ii post imedu ni sweat lakini lazima ni try kubeat wa-shii na wa-hii wengine.
cough1.gif

Sa mnajua mi nilikua nimeenda kucheki mshothereria (grandma) malast year ivi. Sa kuna huyu lefa ameshikwa na TB..mii sijui aliitoa wape! Huku kwa wangu wa makeri (queen) ukiwa na madisease zingine hau upanick kishenzi. Huyu lefa aliulizwa kama amekuwa in contact na msee wowote ametravel majuzi. Fala anasema ee si ule farmgal alikuwa ametravel.

Swali ni, kwani mtu akiland hivi tu Africa ama Asia or any other place people consider as God-forsaken mtu hukaribishwa na madisease? Ama lazima ukam back na present in form of a disease? Yaani tha nerve on that lefa imeni dedisa kishenzi. Manze alinigotea simu akanishow ati pengine nilicome na TB so niende nika testiwe waone kama mii ndio nilmuwai nayo..gosh!

ati 200 hundred words? How am I doing?

Lakini skizeni ii story ya ati tumekam ulaya alafu tunaanza kudharau mahome ni ufala.
Saa kaa ningekuwa na ma disease ka izo jo mpaka naanza kushikisha wathii (is this how u spell wathii/wadhii) si nigekuwa msik pia ama nigekuwa nadedi saii considering hio ni risto ya august/october.

Mii stakangi ujinga so mimerelax tu lakini jo asira zilinibamba!

Huyu mzeiya Bantu ameshikisha KBW kibantuu niaje! mapropu kwako daddy (all the words used here make me laugh so hard)

Kujimudu ndio nini sasa? Kaa ni vile mi nafikiria sawa Walefa na maMboyzz mujimudu. akina just sue na Unyc staki points ka thate nimetry videdli ama?

Post imeiva, imepostiwa ova and out!

Advertisements
This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

22 Responses to Kuna watu Na Kuna Viatu!

 1. Bomseh says:

  Umeivisha kapost eeh? Sikudhani uta manage hata. Lakini ni deadly. Ina maanisha huwezi float sana ukibonga na Bants. Lakini si ni old skool hadi nime burst tu yaani. Alafu mi ndio lazima nimeisorora wa fao coz kwani wengine wako wapi?
  Usisahau kuenda hiyo test. Utapass tu kama hii post. Ova Roger Out ama wanasemanga aje?

  I would not float at all as long as he sticks to tha old skool sheng am good. This thing of reverse speak mmmh I still dont get. I read Bantu’s post word by word alafu try the reverse of tha reverse see if makes sense. its working..kinda!

 2. farmgal says:

  Wah! yumbus hata sikua nime-edit hehe lakini nipatie marks daddy…

 3. acolyte says:

  Yenyewe umejaribu, siwezi ongea choo hapa! Maidhaa!

  How comes you not doing one, ama its in tha kitchen getting cooked?

 4. egm says:

  Eh, hapo umeweza! Kaa Bomseh sikudhani ungeangusha ninii.

  Lakini yule lefa ni kiatu kweli!

  aahh thaanks Are you saying I have removed you colour?
  Kiatu doesnt even begin to describe…

 5. Kirima says:

  Kweli imeiva! Well done nimona wewe si kiatu, tungojee marks sa mtichee.
  Now back to english please I have started floating out here in KBW

  Tha teacher has unleashed a post to diss us…eeeh na mii si kiatu!

 6. Wagathee says:

  Naona we ni mtu wanguvu niaje!!! maze vile umetell hio risto nimecheka idedli.

  comment edited by blogger

  ehhh umekubali? Karibu kwa my diggz and pole had to edit your post. Hope you understand!

 7. Unyc says:

  Farmgal naona imeiva na cowboy.
  Old skul lakini mapropu!
  Noma! Noma!

  Lakini umenijazz…lol.

  Oh na ni wadhii….

  unyc asante sana! I typed that post so quick although been working it out in my head for days. I just got that cowboy bit..I was lost for a minute there.

 8. prou says:

  Umejaribu mami sababu my sheng is so limited hata kuomba maji siwezi. Well done!

  Wee siste just write a little something and let us judge and adjudicate..
  asante!

 9. Sue says:

  Na uyo Lefa enyewe ni @#$%^&*…
  Ati nisiwai marks.. 😀

  Mapropu lakini .. Umestand videadli.. sikuthani unaeza du posk kali ivi… Umevai umevai [tap on the back]

  I have tapped mi back dear..sasa lissen my dear I wanted marks alright,lakini nothing below thate nine…so fanya isivoo

 10. jo says:

  Sasa mamii, we wacha kuenjoii wadhii hapa, mi najua ile sheng we hubonga ni noma kuliko vile umeiandika hapa! LOL!! Lakini enyewe ume-do poa, sheng ni sheng ata kama ni ya zamo niaje.

  Huyo lefa akona TB wachana tu naye, pia mi nilisikia hiyo risto nikashangaa, lakini si unamesea tu vile yehukuwa na ma-issues mob, some people are best ignored, kama unajua ukopoa we tulia coz kama ungekuwa na hiyo ugonjwa unchecked and untreated after all this time sahii ungekuwa unadedi jo.

  Post poa lakini.

  This’s my bestfriend ndio ananimulika na torch hivi!

 11. aegeus says:

  Wale walikuwa wanaongea vibaya uko kwangu wanarusha praise kwa wingi hapa. Tsk! Tsk! So ilikuwa ni kunionea eee?

  Mapropu Sista Shake. Ii ninii imenibamba! Na io risto ya wadhii wakihepa huku na kudai mahome ni kubaya sijui, si wakae na uko, hatuwahitaji!

  Hey methu naona bado you’r writing insha with you swahili sanifu!

 12. Bomseh says:

  @ prou – sema “nigei magwathrez” na maji utapekwa.

  disclaimer.
  sijui kama inatumika bado.

 13. bantutu says:

  Eheee?!
  Bomseh!! “Nigee Magwathrez”? Heheheheh!! Time travel eh? Farmgal ama ni sista Shake? Viatu ndivyo hivyo!! Ama I break it nDown in Ki-ngoso…Ngamias like her shuld be given a juicy piece of mind…Hihihi!! Your sheng’ is ammmm…understandable? But hilarious to the marrow!! Heheheh!! Kazi fiti lakini…Mapropu!! Heheheh!!

  cheka tu!Lakini I appreciate hizo mapropu zako tu sana! Now you know what tha deal was. get typing and remember to stick to proper spell..hahuna bantu style. Sawa..am waiting!

 14. Pingback: Progress or lack thereof... « Me, Life & Everything

 15. farmgal says:

  Ala sue I didnt say no points nili aks for more than thate!

  Jo wacha kunimulika hivyo …unakumbuka ile sheng yako ya kudunga? Ati msee amekudungisha hema aki I cant forget how amused I was when I got that!

 16. modoathii says:

  KOFF! KOFF!

  na vile unajidai ati unamashida ukisoma za wengine? uko poa sista.

  hiyo risto imenibamba. hao maviatu hawakosangi hii life. yaani, ulikuwa umejam mpaka kuna vile unaangusha kizungu.

  sitawa andika post ya kibantu…IKAE!

  aii Modo you got to do a bantu post nikii…woi nasikujidai mii kuna post za bantu sielewi hata! Sheng up-dated am without clues lakini tha old one am ok-ish
  Na-time post yako, sawa?

 17. Klara says:

  Umejaribu sana! Makofi Kwako!

  Thanks Klara!

 18. mamashady says:

  woi!another one bites the dust…i mean that in a nice way!wah, sa sijui nitaandika nini maze!nyi wasee mmeshine mpaka odijo bantuts na moderator methu wanaglow na pride!ataka sheng yako ni ya zama, ni poa! umejaribu!makofi kwako!

 19. Suzan says:

  Sawa.. ndakuwai ka sefente fae (75%) ivi.. Apo enyewe ulijaribu..

 20. mwanamishale says:

  Yaani you hacked it? The way I’ve been laughing to myself thinking we’re in the same boat so I won’t be alone. Mapropu Sista Shake! (na hiyo jina sasa imetoka wapi? Ulikuwa uki-shake nini?)

  Enyewe kuna vile TB inaweza kuku DEDISA kishenzi kwa hivyo advice yangu ni enda tu uka-get tested just to be on the safe side. Lakini hiyo assumption ya West ati Africa ni country moja alafu Nigeria ndio capital city, si wote tuna ma disease na poverty ni ujinga sana. Ashana nao.

 21. modoathii says:

  kuna vile huna bahati

 22. Aizoh says:

  Mii nime-late ovyo. Imagine leo ndio nimecheki ii post! Ah, wazi sistee! Nani kaa wewe!!? Uko poa sana, uko poa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s